Fanya Haya Na Fedha Zako Ili Kuwa Na Kesho Bora Kifedha (S04E12) - a podcast by Queen Gee

from 2023-07-16T12:38:51

:: ::

Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo.


Usisahau kushare episode hii na wengine.


XOXO,


Your Wealth Building Coach

Further episodes of Queen Gee Podcast

Further podcasts by Queen Gee

Website of Queen Gee