Podcasts by Queen Gee Podcast

Queen Gee Podcast

Wealth building podcast 💰
Nakufundisha Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;
Kuweka Akiba 💰
Uwekezaji 📈
Kujenga Utajiri 💵
Connect with us:
Instagram: @queengeepodcast
Anchor: @queengeepodcast
Apple Podcast: @queengeepodcast
Google Podcast: @queengeepodcast
Youtube: @queengeepodcast

Further podcasts by Queen Gee

Podcast on the topic Selbstverwirklichung

All episodes

Queen Gee Podcast
Fanya Haya Kama Una Kipato Kidogo Ili Uwe Na Mstakabali Mzuri Kifedha from 2023-09-19T13:51:47

Karibu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja.XOXO,The Wealth Building Coach

Listen
Queen Gee Podcast
Fanya Haya Na Fedha Zako Ili Kuwa Na Kesho Bora Kifedha (S04E12) from 2023-07-16T12:38:51

Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo.

Usisahau kushare episode hii na wengine.

XOXO,

...

Listen
Queen Gee Podcast
Mambo Muhimu Kifedha Kufanya Kipindi Hiki Cha Nusu Mwaka from 2023-06-12T16:55:16

Usiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu.

Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha.

XOXO,

You...

Listen
Queen Gee Podcast
Umuhimu Wa Kuwa Na Vyanzo Zaidi Ya Kimoja Vya Mapato (S04E10) from 2023-05-16T07:00:42

Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Enjoy listening & learning, XOXO, Your fav...

Listen
Queen Gee Podcast
Umuhimu wa kujilipa wewe kwanza (S04E09) from 2023-05-01T12:05:43

Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya wiki hii.

Listen

Queen Gee Podcast
Fahamu Tofauti Kati Ya Mikopo Mizuri & Mikopo Mibaya (S04E07) from 2023-03-28T12:15:44

Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya!


Usiache kushare na marafiki episode hii,

XOXO,

Queen Gee. The Wealth Bui...

Listen
Queen Gee Podcast
Fahamu Hatua Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha (S04E06) from 2023-03-13T12:00:44

Hello Wealthy People!

Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru wako wa k...

Listen
Queen Gee Podcast
Sababu Zinazokufanya Ushindwe Kuweka Akiba (S04E05) from 2023-03-06T12:00:59

Hello Wealthy People! Episode hii ni ya wote tunaoshindwa kuweka akiba, sababu hizi ukizifanyia kazi utavuka eneo hilo la kuweka akiba na utakuja kunishukuru baadae.  

Tafadhali Usia...

Listen
Queen Gee Podcast
Wasichokuambia Kuhusu Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S04E04) from 2023-02-08T14:02:04

Mpaka sasa utakua umefahamu mengi kwenye safari yako ya kupata uhuru wa kifedha, lakini la muhimu kufahamu zaidi utalijua kwenye hii episode.

Listen
Queen Gee Podcast
Hatua Za Kufwata Ili Kufikia Uhuru Wako Wa Kifedha (S04E03) from 2023-01-30T13:30:42

Nani asiyetaka kuwa huru kifedha? Hakuna! So leo tunaangalia nini unaweza kufanya ili ufikie uhuru wako wa kifedha.

Listen
Queen Gee Podcast
Jinsi Ya Kuepuka Madeni Yasiokuwa Ya Lazima 2023 (S04E02) from 2023-01-18T06:30:32

Usiruhusu kufanya kazi, kupata mapato na kuishia kulipa madeni kila siku. Badilika!

Listen
Queen Gee Podcast
Siri Ya Kufikia Malengo Yako Kifedha 2023 (S04E01) from 2023-01-10T09:30:59

Happy new year! Unawaza jinsi ya kufikia malengo yako kifedha mwaka huu? Majibu yapo kwenye episode hii.

Listen
Queen Gee Podcast
Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Kifedha 2023 (S03E25) from 2022-12-29T08:31:11

Chukua kalamu na note book, andika mambo haya chini, uyashike na kuyazingatia, utakuja kunishkuru badae.

Listen
Queen Gee Podcast
Majibu Ya Maswali Yako Ya Kifedha Yapo Hapa (S03E24) from 2022-12-19T10:08:55

Wiki hii tunajibu maswali ya kifedha mliouliza, kama bado una swali usisite kuuliza.

Listen
Queen Gee Podcast
Fahamu Aina 5 Za Budget Na Jinsi Ya Kuzitumia Kulingana Na Malengo Yako (S03E23) from 2022-12-03T07:02:12

Budgeting ni jambo la msingi sana kwenye safari ya kujenga utajiri. Kujua aina ya budget itakayokufaa kutokana na malengo uliokuwa nayo, sikiliza episode hii.

Listen
Queen Gee Podcast
Kauli Za Kuepuka Kwenye Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S03E22) from 2022-11-18T11:30:31

Mdomo unaumba tunajua siku zote, sasa je unasema nini kuhusiana na fedha? Unaumba Nini kwa kinywa chako mwenyewe?

Listen
Queen Gee Podcast
Nini Ufanye Kipindi Cha Mfumuko Wa Bei Ili Kuendelea Kumudu Maisha (S03E21) from 2022-11-02T13:34:45

Mfumuko wa bei unakutesa na kukukosesha raha? Sikiliza episode hii.

Listen
Queen Gee Podcast
Tabia Zinazosababisha Usiwe Na Hela Muda Wote (S03E20) from 2022-10-20T05:55:29

Kuzijua tabia hizi tu haitoshi kwenye episode hii unapata pia tiba ya tabia hizi. 

#uhuruwakifedhanilazima

Listen
Queen Gee Podcast
Jinsi Ya Kuchomoka Kwenye Madeni Yanayokulemea (S03E19) from 2022-10-12T13:55:08

Ili kupata uhuru wa kifedha unahitaji kuwa in control kwenye maisha yako, moja ya changamoto inayotufanya tushindwe kuwa in control ni madeni. Njia hizi zitakusaidia kuchomoka kwenye madeni yana...

Listen
Queen Gee Podcast
Umuhimu Wa Kuwa Serous Na Swala La Fedha Mapema (S03E18) from 2022-09-27T13:19:16

Usisubiri kesho au sijui lini ndo uamue kuwa serious na mambo yako kifedha, kesho hatuijui leo ndo tunayo. Anza Leo Anza Sasa!

Listen
Queen Gee Podcast
Kanuni Zitakazo Kusaidia Kuweka Akiba Ukiwa Na Kipato Kidogo (S03E17) from 2022-09-19T11:39:01

Kipato kidogo sio excuse ya kushindwa kufikia malengo yako. Hizi hapa kanuni ambazo ukizishika na kuzizingatia zitakusaidia kuweka akiba na kufikia malengo yako hata kama kipato chako ni kidogo....

Listen
Queen Gee Podcast
Sehemu Za Kuweka Akiba Yako (S03E16) from 2022-09-02T13:30:01

Swali kubwa la wengi limekuwa ni wapi niweke akiba yangu, kwenye episode hii utapata kusikia baadhi ya sehemu ambazo unaweza kuweka akiba yako tena kwa faida juu.

Listen
Queen Gee Podcast
Siri Ya Kuwa Na Mafanikio Kiuchumi (S03E15) from 2022-08-18T12:00:51

Leo kwenye episode hii nakupa shauri ambalo ukilifwata huna budi kuwa na mafanikio kiuchumi, chukua shauri hili, utanishukuru badae mtu wangu.

Listen
Queen Gee Podcast
Umuhimu Wa Kufanya Budgeting Kila Mwezi (S03E14) from 2022-08-05T12:15:08

Unapopate fedha unaipangilia au unaitumia tu kwasababu ni yako? Kuna umuhimu wa kupangilia/ kufanyia budgeting fedha yako. Kwenye episode hii utapata kusikia faida za kufanya budgeting kila mwez...

Listen
Queen Gee Podcast
Namna Ya Kuwa na Emergency Fund na Umuhimu wake. (S03E13) from 2022-07-28T15:32:22

Karibu kwenye episode nyingine ya the Queen Gee Podcast, leo tunaangalia nini maana ya Emergency Fund, Umuhimu wake, na Jinsi ya kuanza kuweka akiba kwa ajili ya Emergency (Dharura)


Listen
Queen Gee Podcast
Sababu kuu Ya Ukosefu Wa Fedha (S03E12) from 2022-06-16T12:15:17

Tatizo sio kipato chako au wewe sababu ni moja tu, mtazamo wako kifedha.

Listen
Queen Gee Podcast
Ishi Ndani Ya Uwezo Wako Kifedha (S03E11) from 2022-06-03T12:15:29

Tuendele pale tulipoishia episode iliyoita, huu ni mwendelezo wa elimu ya fedha.

Listen
Queen Gee Podcast
Jinsi Ya Kupangalia Fedha Zako Kwa Faida Ya Kesho Yako.(S03E10) from 2022-05-26T12:03:20

Money lovers, nidhamu ya fedha ipo au mnapenda fedha tu. Leo tujadili nidhamu ya fedha, kwa faida sio tu ya leo bali na ya baadae. Hakikisha kusikiliza episode hii na rafiki kwa kushare, comment...

Listen
Queen Gee Podcast
Ishi Kusudi Lako... (S03E9) Na Dokta Joe from 2022-05-17T12:15:22

Ninayo Furaha kubwa kumleta kwenu mgeni wetu wiki hii, akizungumzia kuishi kusudi lako kwenye maisha na mahusiaono pia.

Enjoy!

Listen
Queen Gee Podcast
Nyakati Hizi Na Aina Ya Watu Wanaohitajika (S03E8) from 2022-05-07T14:14:15

Kila nyakati inahitaji watu wa aina flani, je nyakati hizi tulizopo zinahitaji watu wa aina gani? Episode hii itakujuza. Na je wewe upo kundi lipi? Au hata kundini haupo?....

Listen
Queen Gee Podcast
Haijalishi Wewe Ni Nani... (S03E07) from 2022-04-13T11:00

Karibu kwenye episode nyingine ya The Queen Gee Podcast, tafadhali usiache kushare mawazo yako kuhusu episode hii, share episode hii pia na rafiki na kama bado huja-subscribe, fanya hivyo.

<...

Listen
Queen Gee Podcast
Nini Cha Kufanya Unapotaka Kubadilisha Maisha Yako.. (S03E06) from 2022-03-14T13:00

Asante kwa kujumuika nami siku ya leo, ujumbe huu ukisema na wewe nijulishe kwenye comment. Usisahau kushare na marafiki, pia kusubscribe.

Much Love,

Queen Gee

Listen
Queen Gee Podcast
Epuka Kujilinganisha...(S03E05) from 2022-02-21T12:00

New week = New episode Please share this link with a friend.

Listen
Queen Gee Podcast
Ni Kwasababu Unakitu Ndani Yako... (S03E04) from 2022-02-05T10:28:12

Ni kwasababu una kitu ndani yako. You have a mission to complete. Keep Going friend!

Listen
Queen Gee Podcast
Unaweza Kuanza Upya! (S03E03) from 2022-01-24T12:00

It's never too late to begin afresh!

Listen
Queen Gee Podcast
Mambo Ya Kuzingatia Ili Kuishi Maisha Mazuri (S03E02) from 2022-01-10T16:10:52

Nani asiyependa kuishi maisha mazuri? HAKUNA! Zingatia haya basi ili kuishi maisha ya ndoto zako ambayo ni mazuri.

Comment mambo ambayo sijataja unayozingatia wewe binafsi.

Asante,...

Listen
Queen Gee Podcast
Well, Hello 2022! (S03E01) from 2022-01-07T18:12:27

Happy new year friends. Have you decided for yourself what this year is going to be like to you? Not yet? 

Here's what I suggest we should mostly do this year.

Thank you for l...

Listen
Queen Gee Podcast
God's Time (S02E14) from 2021-11-29T13:52:38

God's timing is always on time!

Listen
Queen Gee Podcast
Mambo Muhimu Yakuzingatia Kabla Ya Kufunga Ndoa. (S02E13) from 2021-09-12T14:00

Hey hey! Natumaini episode hii itakugusa mtu moja mahali flani, kama mtu huyu ni wewe usisite kusema kwa ku-comment hapo chini.

Mapenze tele,

Queen Gee

Listen
Queen Gee Podcast
Ishi Na Watu! Heshimu Watu! (S02E12) from 2021-09-01T14:00

How have you guys been? Let me just say here's my way of coming back with my fave episode. I hope you enjoy listening to this episode just as I enjoyed recording it.

Love,

Queen Ge...

Listen
Queen Gee Podcast
What Do You Have To Say About Yourself? (S02E11) from 2021-06-23T14:56:10

It's not what they say about you, it's what you say about yourself.

Listen
Queen Gee Podcast
Know Thy Worth! (S02E10) from 2021-06-04T13:00

If this episode speaks anything to you let it be, Know your worth, never settle for less than you deserve. You deserve the BEST!

Listen
Queen Gee Podcast
Stop Worrying! (S02E9) from 2021-05-21T13:00

Are you a worrying person? This episode is for you. I hope it encourages you.

Thank you for listening.

Queen Gee

Listen
Queen Gee Podcast
Lesson 2 Of 7:Save Your Money! (S02E08) from 2021-05-05T15:00

Hey, we hope you are enjoying this series of Queen Gee's 7 lessons of her 27yrs of living. Here's the second lesson. 

Let's Learn together,

Queen Gee.

Listen
Queen Gee Podcast
Have Faith... (S02E07) from 2021-05-03T17:32:36

It's my birthday week, I'm sharing 7 lessons that life has taught me in my 27 years of living! Here's the 1st lesson.


Let's Learn Together,


Queen Gee


Listen
Queen Gee Podcast
Lesson 1 Of 7:Have Faith... (S02E07) from 2021-05-03T15:32:36

It's my birthday week, I'm sharing 7 lessons that life has taught me in my 27 years of living! Here's the 1st lesson.

Let's Learn Together,

Queen Gee

Listen
Queen Gee Podcast
Taking a break in life... (S02E06) from 2021-04-29T06:00

Where have I been, doing what and why? This episode has all answers! Enjoy today's episode, thank you for tuning in!

Love,

Queen Gee.

Listen
Queen Gee Podcast
How To Pursue Your Dreams Whilst Working 9-5 (S02E05) from 2021-03-16T12:00

Your time is precious, especially when you’re working 9-5 and don’t have as many hours in the day to dedicate to pursuing your dreams. Make the most of it.

“You have everythin...

Listen
Queen Gee Podcast
2021 We Do Better! (SO2E04) from 2021-02-17T13:00

I just hope this episode inspires you to do & be better! Let me know if it does.

Love,                 ...

Listen
Queen Gee Podcast
HOW I PLAN ON LIVING 2021! (S02E03) from 2021-01-27T12:00

Hey, I know we agreed 2021 we talk money & finance, but hey today, let's take a short break, Shall we. So this is how I plan to live 2021, this year we doing things my way and this is defini...

Listen
Queen Gee Podcast
Ways To Stop Living Paycheck To Paycheck (S02E02) from 2021-01-20T12:00

Have you been struggling with living paycheck to paycheck? Well, this episode is for you. Enjoy listening as you learn ways that will help you say bye bye to living paycheck to paycheck.

...

Listen
Queen Gee Podcast
Lets Talk Money, Loans & Starting A Business (S02E01) from 2021-01-06T16:08:01

Is starting a business on a loan a bad idea? Lets talk! Share your experience! This is my experience.

Listen
Queen Gee Podcast
A Message To My Queen Gee Podcast Listeners from 2020-12-27T17:16:15

Hey friends, Happy Holidays I hope you are having a good one! I just have a little message for you today, thank you for listening to this episode and all other episodes of the Queen Gee Podcast ...

Listen
Queen Gee Podcast
Never Take Life For Granted | Queen Gee’s 2020 Lessons | Lesson 1 from 2020-11-30T12:00:01

When it comes to life, the critical thing is whether you take things for granted or take them with gratitude. 2020 has taught me to take things with gratitude 🙏🏾, What has 2020 taught you? Commen...

Listen
Queen Gee Podcast
Be a blessing from 2020-10-20T13:43:32

A quick reminder on today’s episode that we are here for each other. Today choose to be a blessing.

Listen
Queen Gee Podcast
LIVING LIFE from 2020-10-05T12:27:28

A wise person once said, "You only live once, but if you do it right, once is enough." Through this episode may you be reminded of the beauty of life and that you can live life right starting to...

Listen
Queen Gee Podcast
You Either Make It Happen Or You Make Excuses. from 2020-09-02T13:10:46

You Either Make It Happen Or You Make Excuses, The Choice Is Yours! We Had A Very Raw Conversation On This Episode Of Chitchat Wednesday While We Enjoyed Our Evening Walk, We Hope You Too Enjoy The...

Listen
Queen Gee Podcast
How To Live A Purposeful, Meaningful Life | Chitchat Wednesday from 2020-08-28T07:31:52

A purposeful life is when you are moving towards a big goal in your life that aligns with your values, passions and makes you happy. This is harder than it sounds because finding your purpose in li...

Listen
Queen Gee Podcast
Things That Will Help You Rise Above Failure | Motivational Monday from 2020-08-25T12:20:10

Hey! Welcome to another episode of the Queen Gee Podcast, we are introducing a few segments, and this Motivational Monday that will be up every Monday, we hope this message inspires, motivates and ...

Listen
Queen Gee Podcast
Simple Ways To Save Money from 2020-07-20T15:20:25

Now You Can Listen & Subscribe To The Queen Gee Podcast On Your; Apple Podcast @QUEEN GEE PODCAST Google Podcast @QUEEN GEE PODCAST YouTube @QUEEN GEE PODCAST Anchor @QUEEN GEE PODCAST Love, Quee...

Listen
Queen Gee Podcast
5 Money Mistakes To Avoid In Your 20’s from 2020-07-19T15:43:47

Now You Can Listen & Subscribe To The Queen Gee Podcast On Your; Apple Podcast @QUEEN GEE PODCAST Google Podcast @QUEEN GEE PODCAST YouTube @QUEEN GEE PODCAST Anchor @QUEEN GEE PODCAST Love, Quee...

Listen
Queen Gee Podcast
The Millionaire Fastlane Book Review By Yours Truly Queen Gee from 2020-07-18T15:12:02

Hey 👋🏾 Welcome To Another Episode Of The Queen Gee Podcast & In This Episode Queen Gee Reviews The Book “The Millionaire Fastlane” By MJ Demarco, This is a book you definitely should add to your ...

Listen
Queen Gee Podcast
How Will We Remember You? from 2020-06-11T10:00

"What is the point of being alive if you don't at least try do something remarkable."

Hey I hope today's message enlightens your day!

You can connect with Queen Gee now on...

Listen
Queen Gee Podcast
The Power Of Words... from 2020-05-26T15:44:40

Hey 👋🏾 no much description today just listen to the episode and listen carefully ❤️

Listen
Queen Gee Podcast
It’s OK Not To Feel OK from 2020-05-13T10:55:41

Hey people, welcome to another episode of the Queen Gee Podcast. Today Queen Gee shares her story of it's okay not to feel okay. We Hope This Message Enlightens Your Day! Now You Can Listen & Su...

Listen
Queen Gee Podcast
Feeling Lost...?? from 2020-04-30T08:51:52

Hey! Welcome To Another Episode Of The Queen Gee Podcast. On Today's Conversation Queen Gee Has A Message To Everyone Feeling Lost At The Moment. It Doesn't Really Matter What Happens To You, What ...

Listen
Queen Gee Podcast
Jijue Wewe Zaidi | Get To Know You First from 2020-04-07T15:17:05

Hey welcome back to the Queen Gee Podcast. Thank you for joining the conversation I hope this episode empowers you. Kindly share with a friend or two, subscribe & rate us

Listen
Queen Gee Podcast
Maisha ni sasa! Ishi sasa! from 2020-03-27T15:13:02

Jifunze kuishi maisha sasa achana na kesho😊

Listen
Queen Gee Podcast
Omba Zaidi | Pray Harder from 2020-03-18T15:05:03

Hey love, hope you’re safe💕 Leo nataka kukumbusha kwamba we need God now more than never before 🙏🏾 it’s about time we all go back to him and tell him that we need his help we desperately need hi...

Listen
Queen Gee Podcast
Mambo Mazuri Yanakuja❣️ from 2020-03-06T15:34:49

Usichoke kusubiri😍 Natumaini Ujumbe Huu Utakupa Nguvu Ya Kusubiri Kidogo. Asante Kwa Kusikiliza

Listen
Queen Gee Podcast
Issokeeyy from 2020-02-27T17:07:13

Hey,thank you for listening & sharing❤

Listen
Queen Gee Podcast
Kama Mimi Nimeweza Hata Wewe Unaweza. from 2020-02-18T13:55:41

Tatizo sio nini wala nini tatizo ni mindset zetu. Maisha yako yanaweza kubadilika wakati wowote endapo utabadilisha mindset yako. Najua sio rahisi lakini Inawezekana!!

Listen
Queen Gee Podcast
Kipimo Kile Kile Unachopima Ndicho Utakachopimiwa😂 from 2020-02-10T15:20:34

Hii episode ni 🔥🔥 Enjoy listening😊 let me know your thoughts in this particular matter on my IG page @queengee1 ❤

Listen
Queen Gee Podcast
"Muda Mwingi Sijui Nafanya Nini." from 2020-02-04T16:15:20

Habari gani watu wa Mungu. Leo kwenye the Queen Gee Podcast Nimefunguka ya helaa yotee. Tafadhali usiache kushare episode hii na ndugu jamaa na rafiki, tusaidiane kujengana. Alright? Alright! Enjoy😊

Listen
Queen Gee Podcast
FANYA KWA AJILI YAKO! from 2020-01-29T09:26:43

2020 usifanye chochote kwa ajili ya baba,mama,kaka,dada,mume wala mke. Fanya kwa ajili yako! Jishangaze mwenyewe? Si ndio? Ndio👍👊

Listen
Queen Gee Podcast
KATAA KUWA MPUMBAVU! from 2020-01-23T14:29:28

Kheri ya mwaka mpya 2020. Karibu kwenye Queen Gee Podcast😊 Ni matumaini yangu episode hii ni itabadilisha maisha ya mtu moja au wawili 🙌 Tafadhali share na rafiki na jamaa zako❤ Tubadilishe maish...

Listen