Podcasts by Swahili Tek

Swahili Tek

Karibu katika Podcast ya Swahili Tech ambapo utafahamu mengi kuhusiana na Teknolojia, social media, applications, simu, na vifaa tunavyotumia kila siku katika maisha yetu. Karibu sana na usiache ku-subscribe ili uoate infos kali.

Further podcasts by Apollo

Podcast on the topic Neues aus der Technik

All episodes

Swahili Tek
Utangulizi from 2023-12-12T16:51:38.111830

Karibu katika Swahili Tek, Podcast ambayo itakufahamisha mengi kuhusiana na mambo yanayotrend kwenye gadgets, simu, mitandao ya kijamii, na updates za vifaa tunavyotumia kila siku katika shughuli z...

Listen
Swahili Tek
Microsoft amefanya maboresho kwenye emails za Outlook from 2020-05-12T17:34:02

Microsoft ameamua kufanya maboresho kwenye Outlook ili kuweza kupambana na soko la email hasa ukilinganisha Gmail mwaka huu pia ilifanyiwa maboresho na Google katika kuipa nafasi nzuri ya kiushinda...

Listen