Podcasts by JUKWAA LA KUUZA FILAMU, MUZIKI, HADITHI, VITABU,MAKALA, MAFUNZO N.K
Karibu katika jukwaa la wajasiriamali ambalo linakuwezesha wewe kama creator kuuza huduma yako kwa wafuasi wako walio tapakaa katika nchi nzima kwa urahisi na kuweza kujiingizia kipato cha kudumu na cha kila mwezi. Iwe ni filamu, vichekesho, simulizi, masomo ya kidato cha kwanza hadi cha sita, vitabu(e-books), muziki, mafunzo mbali mbali ya kitaluma(proffesional trainings) n.k hapa ndo nyumbani kwako.
Further podcasts by Eng. Kabenda Balete
Podcast on the topic Wirtschaft
All episodes
Referal Link from 2020-02-27T07:51:31
Kwenye kila content chini take kuna maandishi yameandikwa Share and Earn, ukintumia mtu link ile utapokea malipo(commision) kwenye My Wallet.
ListenMatumizi ya Social Medias from 2020-02-12T16:34:05
Ndani ya Episode hii tutazungumzia juu ya matumizi ya social media na dhana kuu ya kuuza huduma
ListenDhana ya Kuuza Tanzania from 2020-02-09T19:52:26
Ndani ya Episode hii tutazungumza juu ya dhana ya kuuza Tanzania. Tumezungumza zaidi kwa motivational speakers na trainers. Episode zitakazo fuata tutazungumzia section mbali mbali.
ListenMALENGO YA KIPAJI APP from 2020-02-08T19:07:29
Ndani ya Episode hii, mkurugenzi mtendaji wa Kipaji App ametoa maelezo kwa ufupi juu ya kile kilicho fanya aunde jukwaa hili la kuuzia huduma, sikiliza kisha uliza maswali pale ambapo hujaelewa kat...
Listen